Lifestyle

How I Escaped Death From Female Team Mafisi

Soo Woo
Written by Soo Woo
Spread the love

Time ilikua ni saa sita ivi nkiingia klabu noma sana apa around (tuuite Club X), harakati za kuchangamkia weekendi kama kawa.IMG_20160831_012429_588

likua fiti design nlikua nmeadisia makali flani ki uraiya tu ndo nkiingia dunda ata naeza medi na beer moja ile ya entrance. Viti hazikua so nkachangamkia ki corner flani nkipima rada venye kunaenda. Nlikua nmeng’aria lebo moja mwenda ya ki ofisi ungedhani ni sponsor shida ckua na kitambi… “Martin Luther….Black” sikungoja nkaingia floor mamoves mzuka kwenye ofisi..noma sanaa…kiasi kiasi msupa ashaingia mix ashaanza kunirombosea…DSC_01777

aah babu io formu naitambua..

DSC_0272

ma one two one two na ashaanza kucheza na sehemu nyeti…siezi kataa nlikua dry spell but…eei nkaflow na io formu…

IMG_20160831_013533_865

alikua dem flani freshi rangi ya thao, majegi na manyuma zote ziko sete na alikua kwenye ki toja flani fiti na kithong kilikua kinaonekana hehehe…nkamsuka na ki Guarana akanichapia amechoka na dunda anadai ingiza mtaa, nkajua ah formu imegwara …oh ashaniambia nidandie piki sikungoja..akadai nkae mbele nkakaa akakaa alafu demu flani pia akadandia…me nkalenga story ckujua form gani piki ikainua

DSC_0662

…io diaspora alikua anaishi walai mpaka leo cjaijua ilikua ni wapi….ustake jua ata mbona ntakuchapia…piki ikafika tukashuka ckuona akilipa but mwenye nduthi akainua bila ata kusema kitu… io compound ilikua na gate mbili but io tym ata huwezi jiuliza mbona juu kitu nlikua nafikiria ni venye weekendi imeivana….compound ilikua na keja tatu na zote zilikua kwenye giza nkajijazia uyo dem mwingine atajipa shughuli yenye haiku happen tukaingia wote kwa io hao… stima ni kama haikua ama cjui ata ka wanakuaga nayo ama token zimeisha but akaasha ma candle zilikua bigi bigi za black…mpaka io tym nlikua nimenice but story ya uyu dem mwingine ndo ilikua inaniworry… ckujua kama ni combi ki threesome ama…na pia tu io idea ikanijenga smile moja walami huita sheepish smile…all this tym hakukua na conversationya maana na haikua weird juu tuko maji na agenda ni moja…nkawashow nadai nyora wakanipointia bathroom nkaingiza…ilikua giza giza nkaasha torch ya infinix…nkanyora nkaosha mkono alaf nkakata t.p kudry mkono apo kando kulikua na ile dustbin ya kukanyaga ndo ifunguke nkakanyagia ikaopen… ustake jua chenye nliona…waaa..kulikua na burungu {mzinga/deki} bigi ya mwanaume yenye imekaatwa apo…ilikua na mafudhi fudhi na damu damu….nkameza mate inizuie kushtuka kwa nguvu…kumulika apo kando kwa bath tub nacheki mandula ofisi brandy na nikaa bado zimevaliwa…IMG_20160831_004232_709

sikutaka kuangalia but nkajipata nmeangalia body ya mwanaume amechinjwa chinjwa na madagga …..wooooi….pombe yote ikapotea nkaskia mtu akiitwa nkajua nime dead..fon ikaanguka ikazima nikatense………..
Ni serious nakuambia keep it Kampozone ntakushow venye kulienda….

 

#to be continued

 

About the author

Soo Woo

Soo Woo

58 Comments

Leave a Comment