Fantasy and Fiction Lifestyle love Poetry Relationship

I DO

Gent Says
Written by Gent Says
Spread the love

First time kukucheki nliona tu just another girl,

So acha nisingizie Gods blessings now that you are my girl.

Una cheki sikuvunja shingo,

Huh now nkikuloose ni kama kuweka signature kwa application ya kifo,

Ni kama kujifungia keja imeashwa jiko,

Slow death.

Na msupa umegrow kuwa my heaven,

Plus my hell.

Juu ni wewe  unantupisha kiwewe,

Ni wewe kuku mimi mwewe

so ntakuhawk eye,every time nikiwaona Wakitaka Ku hawk your heart,

Na waambie pesa haikuwezi,

Wee ni priceless hata vile nlifika bei,sijui.

I guess nlikuekea kamotee kwa ile mchuzi,

Buh  najua ntajaribu ninunulie mama hata mbuzi,

Kwa vile amekulisha,

Na baba ntamtengenezea mkuki,

Ndo anisaidie kufukuza Hawa mamluki,wata try to capture your heart,

Buh waambie Wa bring it on,bio nlisikiza mwalimu nmeiva capture recapture.

True,

Nlikuwa player buh now only player najua ni hii tunaeka CD,

Nlikuwa hopper huh sikuizi naziona tu tukienda nje picnics.

Napenda who umenichonga to be,

So acha wazidi kubonga tutaziredeem.

Acha wazidi kukodoa kodo,si tupange vile tutanunua iyo condour.

Though mi ni mgeni mapenzi,ntakupenda kama kingoso na maina kageni.

Coz if I had to do it again,I’d say “I do” daily.

About the author

Gent Says

Gent Says

Leave a Comment