Uncategorized

SALAMU TO FRESHER SELF !

Written by Am Gent
Spread the love

Ningependa kutuma salamu to my fresher self. Wee ni ule conquerer sjai ona. Kwanza big up yohself kumake kampo. Wasn’t an easy task but sir God generous alikuona through.

Hii mwaka ni ile noma design ya kiu mollis. Itakunyandua ustake jua. But strong uta cut through.

Bondo ni hot so usibebe ma duvet huku. Hizo uzia jirani.

Usigombane na mzae juu huku kna kaukiwaga utakuwa unam holla.

Halafu ukifika huku Fisette nikaa wote. But kuna ule wako atajipa ustie pupa. Ni karembo noma hata siaminigi utamek kumfungia ka lock aje.

Ogopa story na dean, jua jovencha ni machapo, goshen juo, iko siku ni uji na kuna jaduong’ incase unadai kusokotwa tumbo,Saka keja nje runda ni dandora.

Those said big up man. Naku wait huku.

 

About the author

Am Gent

2 Comments

Leave a Comment